2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
system
wenye
12
Skiza ideas kali kwa Radio show yangu kila Sunday kwa Milele fm 8pm
RADIO Enda mdundo.com halafu search DJ Boyie
13
14
h
kusema
20308 #MiCYETU
Name: Sofia abdi
KSH.1000
FR
Hood: mombasa
Mimi naitwa Sophia Abdi, mkzi wa Mombasa. Huku tatizo k ni kukosekana kwa uwiano na pia radicalization kwa vijana. Tunashukuru sana DJ B kwa kuleta Mic Yetu hapa. Tumepata Fursa ya kujadiliana na viongozi kuhusu swala hili kwa kina. Tunafurahia kwa sababu Mic Yetu haibagui ila inasadia watu s kujieleza wakiwa huru. Mimi kibinafsi, nimekuwa nikijihusisha na jambo hili la kupigana na violent extremism na pia knda nafasi sawa ya wasichana ku-engage na leadership. Fursa kama Mic yetu ikiendelea naona itatusaidia kupiga hatua kubwa sana.
15
16
17
VILE YA KU-SHOW MASA CHALI YAKO
18
19
20
21
22
23
24
25
26
hizi madhafu zitanisaidia nini kwa lyfe yangu?
my dear, are you a camera? coz every time I loOk at you I smile...
yes, brenda... aAaAah... risper... aAahHh... I mean yes, sir!
niko na vitu za maAna kufanya hapa!
I seE some people loOk very hapPy...
Is this equation making you hapPy...
hehehe! Iko shida! guesS what? huyu mseE alilazimishwa kusoma hizo mabarua kwa mbele ya clasS mzima! aibu nayo?
BOB!!
stori haikuishia hapo! shule zilifungwa, na akiwa holiday, bob akendelea kuwinda...
27
aki risper nilikuwa nimekumisS! kweli? si nilisikia sijui uliandikia dem mwingine barua ka ile ulinitumia!
hakuna! rumours! si ukam u-meEt mabeste wangu leo? watakuwa wanacheza basketbalL...
sawa! I hope ni waseE wapoa!
cheki! huyo ni bob na msupaA?
wapi?
eh bob, mseE!
vipi man?
fiti! sijui ka mMeona msupa wangu? vumbi nyingi hapa, you know...
28
bob, kwani kuliendaje na yule risper?
brenda pia bado ni wangu! sasa nina wawili!
ah, si hiyo ni choice? nikitaka nitatumia. ka sitaki, sitaki!
we! I hope unatumia protection!
aki si una ufala!
risper simu yako inalia... acha nikutoleE... una-do nini na pilLs kwa handbag? kwani unanichezea? unadhani mi fala?
oOh... lazima ni mama stacey...
sio kukuchezea! usinifikirie hivo! you know I love you, but pia unajua hatuko ready ku-get mtio. Inaitwa kuwa m-smart!
wewe kuwa m-smart peke yako. nimeishia!
29
baAdaye... bob, hukuli leo? nimeshiba. Kwani nili-overRact? lakini mbona anabeba pilLs bila permisSion yangu?
eh, brenda, nilikuwa nimeku-misS! nilikuwa tu nangoja shule zifungwe!
bob anafikiri risper ana-neEd permisSion yake kubeba pilLs... cheki vile kulienda baAdaye, ndio aka-realise vile yeye ni fala! siku nyingine... niko serious na love yetu, bob. kuna mahali nilisikia djb aki-mention, nataka tuende...
wapi huko?
Inaitwa future fab. ni clinic ya mayut, na wako na watu profesSional! wako friendly pia.
mbona sasa? mimi sioni haja!
30
kuna haja. watu wako serious na love yao lazima waone haja. mimi sitaki ku-get balL iniharibie masomo! Iko hivi, mimi nitaenda, hata usipokam na mimi.
wah! hawa madem wote wanafikiria tu the same. InakaA ni mimi nina shida hapa...! haya! finalLy bob ana-realise dem ha-neEd permisSion yake juU ya hii story ya protection. uzuri amegundua mapema!
baAdaye, kwa clinic ya future fab...
mMefanya poa kukam future fab!
na kweli, mwanamMme anafaA ku-lead kwa hizi story za ku-avoid unwanted pregnancy. hivo ndio hawa madem wameniteach. kila boy anafaA ku-visit future fab clinic na dem wake. hawa waseE ni wa-dope!
hizi ndio services zetu. mtachagua zile mnataka.
Unaonaje decision ya bob kuenda na brenda kwa clinic ya future fab? ebu tuongeE juU ya 2 na 5!
Tuma opinion yako kwa 20308 ukianza na word '#FISIPAP' na unaeza shinda Ksh. 1000. Kutext ni freE!
31