38 - ShujaazFM - Chapta 38

Page 1



3


4

Sasawa Dj boyie enyewe umetu-enrich sana sisi mavijanaa n hope hii works yako ita-grow hadi iwe-international... Big up! Sammy Samchez


Big up DJ mkali, mnoma, tunaku-congratulate sana kwa kujenga ma-yuts wote Kenya. Ruthy Wanja

5


6

Si unajua we ndio baba yao thats why u r the best. N a hapy nw ya kwa mafanz wa shujaaz. Flickstar Maro


Thumbs up Boyie I still remain fan wa shujaaz....forever and ever always. Bajaj Pirlo Di Almeida

7


8


Big up to you DJ B na kila mtu. Happy new year. Jennifer Riley

9


East Coast Fever iki-affect ng’ombe SMS “shujaaz” to 5024

Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 729 619 653 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: USAID, Twaweza, RIU, DFID-UK & Galvmed. Distributed by Nation and Safaricom. ART: Daniel Muli | Salim Busuru | Eric Muthoga | Shin Tuxedo | Mmbasu Mbwabi | Joe Barasa PRODUCER: Koome Mwiti ART PRODUCER: Fatima Aly Jaffer DESIGN: Esphan Kamau RADIO: Rickie Mukunga | Paul Peter Kades | Jared Ngugi RESEARCH: Sylvia Thuku | Farida Noah FINANCE: Dorothy Acholla DISTRIBUTION: Joram Kioko. Special thanks to JUST A BAND for their fantastic music on Shujaaz. FM Radio Well Told Story © 2012 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.

10


11


12

I love the spirit yaku-bring peace to our beautiful nation. Voke Kathiaka


13

Am with you Boyie ka gava ingekua na watu ka wewe jo! tungekua more than mbele. Tuks Brazary Brazaville.


Uliezaje ku-confirm kuna noma na management ya hosi?

Nili-mobilize tu mayut tukafika wasee ka forty. Tulikuwa wasee wengi but nilijua kuna wasee wangeitwa waguzishwe dooh. Lakini wangeguzishwa me enyewe mdomo yangu iko juu, ningewamezeshea. So kila msee ali-participate kwa demonstration yetu roho moja.

Manze ilikuwa situation mbaya sana, kitu ya kwanza nilifanya research na nika-get underground story.

Nikajua madoki wa hio hosi walikuwa wanaiba dawa wanazipeleka kwa clinic zao hapo nje. Sindano zilikuwa zinadisposiwa vibaya mahali watoi wangezipata. Hakukuwa na ukuta ya kuzuia dispensary na facilities zilikuwa imbo kabisa.

Uko topz kaa nundu ya ngamia...endelea kuchapia mayut izo teachings ni noma. Kim Mbugua

14


Facilites zime-change, hakukuwa na lab but saa hii kuna lab, hakukuwa na H.I.V. testing but sasa kuna container imekam ya H.I.V. testing, simiti ikapigwa kwa grounds hadi saa hii inakaa hosi.

Sasa wameweza kujenga wall poa na gate juu ya watoi ku-get access kwa madawa na masindano zile zimetumiwa.

Haugopi kuvunjwa juu ya kuwa radical? Nikitoka kwa nyumba nikienda nilikuwa najua kuna vitu hazita-work... Najua hii ni shimo na hii ni njia. Nikijua hivyo naeza hata postpone hadi kuwe safe kuleta noma. Me hu-postpone mara ka tatu but ya nne lazima iingiane.

15

Man idea zako niza power & kama vijana lazima tu-keep amani natuvotie leaders wa kutenda wala si wakubonga tu. Jackson Sore


First time yangu kusoma shujaaz niliijua na watoi. Ulikuwa unaget watoi na hizo ma-comic, na me vile napenda ma-comic nikakam ku-like Shujaaz.

Wazi Mzito! Wewe ni Shujaa kweli!

16


17


18

Mazee DJB, umetu-help tu sana si mayuts endelea mara dat dat. Eldon OkingoOchieng


19


baadaye....

am sure chuxx yuko huku...

mzito ameshinda!! tukunywe!! nipe chupa tatu! lazima nibonge naye...

chuxx, naweza kaa hapa?

Wacha ku-celebrate ju hizi ni results za round 1 na hakuna mtu ameshinda ju hakuna mtu atakuwa amepata kura zinazofaa kushinda!

Ah! Karibu Maria Kim... Pia wewe unasherehekea? Hehe!

hatuna was! kama mzito alishinda mara ya kwanza, atashinda tena!

Haujui, top two candidates wataenda kwa election zingine?

evlybody...

hehehe!! hihihi!! hehehe!!

20

Hi, DJ Boyie unabambisha mbaya nimecheki kwa Nation leo. Nixon Masiar


mwezi moja ikapita...

ma-elections tu!

bryo, nini kinaendelea huko?!

ayayai! sasa nini hii?

wewe! ni nini tena?

shhhhh!! ebu funga hiyo mdomo! niliku-show aje chuxx? si nili-kushow kunaeza kuwa hivi? sasa ona ile chaos mna-cause!

wametuibia!

ati wanasema mzito ameshindwa! atashindwa aje? haki yetu!

Niliku-show si lazima mtu ameshinda 1st round ashinde 2nd round! Wacha koti i-decide kama zimeibwa!

lakini... lakini... mzito anafaa ashinde. hatukubali... wameiba...

wewe niambie, hata mzito akishinda itakusaidia aje, heh? uta-get nini wewe? niambie!

21


uliona vile kulienda last time? raia walianza kupiga juu ya ma-politicians...

...watoi walipoteza mapero...

...wasee walipoteza bizna zao...

...mayuts walitupwa jela...

...wamama walipoteza nyumba zao...

hebu niambie, huyo mzito hata anakujua? ata-come kwako akuambie ahsante? vile kuliharibika last time, hao wakubwa walipoteza nini?

uliona wakipoteza bizna zao?

Uliona mabibi wao wakikatsiwa raha?

je, watoi wao wali-suffer?

walitupwa jela?

22

hapana!


Ina bamba jo! Andika kuhusu ajali za barabarani za hivi punde. Uko juu. Jackson Amos Okinyi

23



Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.