Chapter 109-Special Edition

Page 1


#BforBae tu nayo!

dJ hashim in the house! Harusi tuna hatuna?

A Dj ako sawa sana!

Ni poa nili-invite kazuri kwa h harusi! ni mresh kuruka!

A kweli anakupenda! yani bado anakupiga picha! Yani nilishindwa ku-resist h invitation! My hot dj! hihi..

na sasa utaweza resist kwenda kwake h usiku yote?

2

er... unajua... E..


Unaji-trust kuwa na yeye? anything can haen! anyway si ume-come ns protection?

e..sikuwa nimefikiria hivyo!

Hey!! Hashim!

M...

kazuri, naweza dance na wewe?

niAJE, Ni kitu gani inaweza fanya ms AKOSE tumiA protection hata kama ako nayo HAPO? tuma text yako kwa 20308 ukianza na word HASHIM Na unaweza jishindia ksh.1000 usisahau kuanza text yako na word hashim

3


4


Usijali buda, leo ni birthday yako, fikiria tu hiyo nyam chom na supu.

KWELI.

Hahaha amepararishwa.

CheEzy freshi ni loser, wachana na yeye.

si UNAKUMBUKA HATA MIMI NA CHEeZY TULIWACHANA KWA SABABU YA HIYO STORY.

Alikuia anafikiria na m-play juU nilikuwa na sisitiza tutumie cd.

atajipata kwa shida akiendelea hivyo.

Pia mimi alinifanyia hivyo, alinihurt.

tuFundishe huyo chali adabu. hata sijui kwani nini nilikubali kuwa manzi yake.

5


mwanamwali ajinyonge kwa mti ya nyanya. hajui niko na madame kama thao.

wacha ajidanganye yeye ndio main chick.

watu wangu! mashida tuweke kando, leo ni kushikisha, kila mtu apewe nyam chom.

6


7


waseE tuishieni!

cheEzy anachoma picha jo.

hata ka nyama kalikuwa kadogo, hatunge shiba.

8


9


10


wow!

what?! j-star?! the finest performing artist in jongo!

unajua venye madem wote jongo hutaka huyo mseE? ako finest! ulim-get aje? ngoja...

aki janet! sio hivo. nampenda sana. last time tuli go out, laribu tu-doze pamoja... naogopa sana ku-get balL.

ungekuwa mimi unge-do aje?

mbona unakaA kama hauna furaha? una miaka 18 na life yako isha take ofF! haumpendi kwani? naeza m-have? mimi nitampenda mpaka apasuke aki!

shHhH! mkono gamu ndio huyo, na amekula ndimu leo! jipeni shuguli chapchap!

baAs! napenda kuona watu wakiwa bizi hivo! sio kusimama tu mkipiga stori!

tukutane hii kona, mkutano ya mbio mbio!

11


janet! Ishia home! you are fired with imMediate efFect!

oi!

kuna mtu ako na swali pia amfuate?

hakuna? goOd! rudini kazi!

gosh! mbona janet amefutwa? I think juU ako na balL! aki life yangu iki-break nitajiokota aje sasa?

12


maria kim! siku hizi uko na kivuli ya kuUzia sukuma? ni ya mama wambo. natumiatu leo juU hayuko.

baAdaye...

oOh. nipe sukuma ya fifty.

lucy, sasa? oi! nini mbaya?

mbona? j-star ame-do nini?

aki niko confused tu!

hakuna. love yetu iko poa, na inakuwa betTer and betTer. ni tu... sitaki kuji-get siku moja ati niko na balL! nita-do? ndio niko confused!

ebu come hivi...

I think naeza ku-help. Ushaisikia juU ya tsafe? nimeona hiyo logo mahali, lakini sijui ni nini...

tsafe ni njia freE ya ku-get help ukiwa na crisis yeyote ya relationship. kama uko aged betweEn 15 na 19 years old.

chenye unaneEd tu ni phone yako!

kama wewe unaeza get counselLing for freE. pia unaeza get pregnancy test for freE ukitaka.

kama wewe unaeza get counselLing for freE. pia unaeza get pregnancy test for freE ukitaka.

pia unaeza get help na methods za kuji-protect!

13


realLy?! nataka hii tsafe mara that-that! ni easy! kwanza tuma text na word sema kwa 22699. hii ita ku sign up na tsafe. kutuma text ni sare!

nimetuma.

poa! sasa utajibu maswali mbili tu rahisi na utakuwa registered!

sasa uko set! unaeza find out ni clinics na chemists gani ziko karibu, zenye unaeza visit uget help for freE! wow! hii ndio kitu nahitaji kwa life yangu!

na hii tiko miles ni nini? sita-have ku-worRy tene kuhusu j-star! ama juU ya kufutwa kazi na mkonNo gum!

14

sasa hapo ndio kuna fun ya kutumia tsafe!

ukiendelea kutumia tsafe, utapewa points zinaitwa tiko miles. unaeza kutumia hizi points (tiko miles) ku-buy vitu mob zenye unataka! kuna shopd ziko na sign inasema “tiko miles redeEmed here� penye unaeza get bidhaA ukiwa na hizo tiko miles!

nime-get text ya welcome...


15


16


17


18


19


20


21


Okolea bro!

Ukiwa kwa mat na msupa, utaanza aje kubonga na yeye? Cheki tips ! ChekiApril tipsJerry za kubonga dame kwa"nifungue mat! @djboyie May Niajena nikona swali Usilemewe tena bro! drisha ama roho" Diana Irungu Eti fare ni how much? Avia Nana Excuse kutoka hapa the next stage ni wapi??? Vinny Vincent Eti wanalipisha gpi thn unamxhw aclipe coz uko mresh xna Singer Blinger Hii ndio belt yako.... Sin Klinto Gaucho Unaskia joto nifungue window Mshii Carl Peter Mm hu buy mahindi choma alafu nampea najua haezi kataa ...alafu story inaanzia hapo Isaac Lemayian Sasa uko na loose ya thao hapo Elvis Wasafi Aki moses wa canaan angekua anaendesha hii gari c tungekwa tunafika late Kelvin Lumati Unafunga seatbelt yake Vic Kibet Tufunge belt ama ndoa.... Akicheka its a go...asipo weka earphones vumilia safari SirMark Snr Unanunua tropical za 10bob, then SirMa unamkatia nusu ya tropical Moja..maneno inaanza hapo sasa

Ög Ñdügûÿê Pröphéçt shosho kusema txt ya m-pesa isifutwe ndo pesa zisipotee Peter Wanya Kuweka sura ya kaz na huna kaz Dennis Kiptoo Kufunga seat belt ukiona polisi Tonny Kiplimo Ni kubeba makaa na nguo imeandikwa let conserve trees Ol Olgah Hope Achieng Ujinga ni kuita kokoto mbegu ya mawe Lydia Obura Kujam chali yako akikuambia you are acting like a child and yet unafurahia ukiitwa baby Clinton Leen ujinga n kuenda maternaty na kusema "niaje wazito" Marianna Shii Shosho kucomplain ati dawa ya meno imepanda na hana meno

22

Key Booh Chow Kufeel loved wen sm1 calls u HONEY yet unajua asali n pupu ya nyuki Esther Mo Kuvaa tisho imeandikwa "nimechill" na uko na mimba Safari Kitsao Ujinga ni kubuy datas za kupost uko msick instead of buying drugs Da Darkest Heart Kuvaa cd za sure kwa mkono ukibet ndo bet zako zikue sure bets!

i n a g Ujin


23



Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.