Chapter 101

Page 1


2


3


4


5


6


7


8


Vipi lakini, najua kwamba wengi wenu wamenijua baAda ya muda kama yule dem mkali kwa Mchongoano, na hiyo ni sawa!

PROFYAMS KWA LIFE YANGU

Lakini kuna watu hawa maAlum katika maisha yangu ambao labda mnajua kidogo kuwahusu ningependa kusherehekea leo ...

Bila shaka mimi nina shosh mnoma zaidi duniani. anaishi mashambani na anapanda matunda kwa shamba yake na pia analisha kondoO!

Lakini sababu halisi kwa nini yeye ni profyam wangu namba moja coz amenilea poa, ako na upendo mob kwangu na ananijali sana. yeye hunitakia the best for me! na-bet alikuwa msupa wakati yeye alikuwa mdogo!

9


my mum anaitwa Beatrice. Yeye ni mfanyabiashara kwa export & import industry. yeye ni profyam wangu coz ana-make sure nimeEnda shule! najua anakuwanga busy sana job, lakini hii ni kwa hali ya kunitafutia! i hope mimi si burden kwake! “Kwa kweli, Wakati mwingine inaonekana kama mimi ni shida katika maisha yake kwa sababu mara nyingi yeye hunipuuza mimi.” “Jambo moja ninampongeza ni kwamba amehakikisha kuwa nimo shuleni ili kupata elimu nzuri. Ako na tough lovet kwa sababu hii, yeye ni profyam!”

Baba yangu alienda kufanya kazi Saudi arabia na hajawahii rudi!

10


Jipendo ni umri wangu na rafiki wa ajabu! aKO CHONJO KWA STORY ZA KUji-protect. jipendo hu-keEp secrets zangu poa na daima ni dame m-caring sana.

“Sisi hu-share secrets na nina jua ziko safe na yeye, ndio manake na-feel yeye ni profyam!”

11


Kazuri ako kwa my circle of close friends! amejawa na upendo sana na hunisaidia sana! daima najifunza kutoka kwake!

“pia tumekuwa na wakati mob wa furaha kama ule wa mashindano ya donkey derby!�

12


Erico ni mkulima mzuri wa samaki ambaye anaishi karibu na Shosh. Yeye ni hardworking sana na ako focused. pia ni wa kupendeza sana!

“nitakuwa mkweli hapa, yeye ni crush wangu wa kwanza - na anaonekana kama ananipenda pia!�

13


list yangu haiwezi kuwa complete bila watu special kwa maisha yangu kama Esther. kwanza, ni dada wa Erico na pili, ninafurahi sana vile yeye hu-learn from her mistakes .

Yeye ana moyo mzuri sana na roho kubwa ya kufanya biashara.�

Ningependa kusikia kutoka kwako, ni nani atakayestahili kuwa profyam katika maisha yako? Tuma text yako kwa 20308 kuanzia neno LOBA na unaweza kushinda Ksh.1000. ku-text kwa namba hii ni bure kabisa!

14

the end.


15


16


17


18


shags kwa kina wizZo, that weEkend...

waseE, si mnajua vile si hufanya? sio huzuni tena, tunacelebrate life ya uncle ya wizZo! mnajua vile yeye pia alikuwa mseE wa fun!

kweli kabisa!

baAas!! disco matanga iwake moto! mimi dj wenu, charles utepe!!

ni m-hot!

maria kim, thanks kwa kukam...

anything for you, wizZo!

huyu ni loyala, sistangu. pia anaishi jongo. Loyala, huyu ni maria kim.

thanks kwa kukam, maria kim. wizZo huongea juU yako sana.

huyu boy ni m-fine!

aki?

haha! acheni za hizo!

ni excuse kidogo, kuna mtu nataka kuvybe hapa!

19


Charles utepe! come tu-dance!

sawa! hauna maneno mob, eh?

huyo ni boyfriend wake kwani?

hao wawili ni kama magnets!

loyala, si tuishie? na nani ata chezea watu ngoma? nitaiweka automatic freE play... sawa!

20

agh! huyo dem amemnyakua ka tumezubaA hapa!


jongo, baAda ya wiki tatu hivi...

maria kim! maria kim!

loyola! sasa!

tume-break up na charles!

mbona? nini ime-hapPen? uko sawa kweli? tuingie ndani tuongeE...

ni yeye ameku-dump? hapana! mimi ndio nimemuacha! ati? alinishow alikuwa na dem mwingine before mimi! so? shida iko wapi? si that was before you?

huyo dem ame-die!

oh... ebu calm down... aki mimi sielewi...

21


22


23


24


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.