2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
MISS JONGO
13
sasa waresh! chuxX the man is in the house! pa! pa! pa!
oi!
madem washa -apPly wengi! usichelewe! competitions are stifF!
mimi ndio na-organise hii kompe! si munaona mimi ndio nmeweka hizi posters zote? aki? ebu tu-show...
ayaya!
lakini usi-tense... si tumejuana sasa? ukinipa namba yako kuna vile nitakuingiza ndani...
eish!!
14
kwingine...
eh, maria kim, hizi hesabu zinasumbua! asante kwa kunisaidia!
karibu, mama stacey. hii budget itaingia, auditions lazima zi-hapPen kesho!
wololo! nisipopata customers ka wawili leo sitaweza kulipa chuxX! na ye huwa kichwa mbaya, nisipomlipa anaeza toa posters zote ameweka!
uko ready kufanya auditions kesho? kabisa!
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31