Chapter 108 - Special Edition

Page 1


2


3


greEn lodge... fena... acha uoga... tuingie greEn lodge...

fena... hakuna mtu atajua... dakika tano tu...

nyinyi!

aki denis... hapana!

nyinyi watoto! tabia mbaya! hii kijana ndio inaharibu wasichana wetu! nyinyi ndio mnafanya hii mahindi inakulwa na wadudu!

4

kimbia! mamayo! kwisha sisi!

aki kwisha mimi! huyo mseE ataAmbia mapero! watanilazimisha kuenda kuishi na uncle yangu jongo! acha wasiwasi! si jongo ni kupoa tu?

sitaki kuishi jongo bila job!

woi!


jongo, baAda ya wiki kadhaA......

eEeh! hiyo wedDing next weEk lazima tu-slay!!

lazima! lakini tuta-slay aje bila viatu kali? tuta-get aje viatu?

jibu iko kwa hiyo t-sho umevaA!

haiya! mbona hata sikufikiria? of course, tunaweza redeEm tiko miles na tu-get viatu kali! heheEe!

ah! nawe! unauliza na uko na jibu?

sasa fena! sasa maria kim? saseni?

kuna wedDing next weEk tungependa ukam na sisi. hata saA hizi tunaenda shopPing!

hebu kwanza tupitie beste yangu mgeni neiba hapa juU. anaitwa fena, tumsalimie tukiendanga...

nitakuja wedDing! leo siwezi kuja shopPing, bado nafua nguo za uncle!

wangejua vile niko broke!

5


si hizi tiko miles huokolea? eEeEh bana! kila dem anafaA kuwa nazo!

nancy hauku-buy anything...

nilikuwa naAngalia tu. tayari niko na viatu. nitatumia tiko miles zangu kutengeneza nywele kwa mama stacey! na maria kim mbona uli-buy pair mbili? na hiyo ingine hata sio size yako!

6

haiya, nyi waseE si tutachekiana? poa! achaneni na mimi... hehe!

tukutane siku ya wedDing!


siku ya wedDing...

tumekam mapema! tuta-get seats poa mbele kwa ile row ya friends!

wah! cheki hawa maden vile wanakaA poa, halafu unione mimi hapa!

gagaga!

I know! mpaka ule cameraman amezubaA hajui gari ya bride imefika!

7


KAMA JANA

POLE

8


so hizi services ni za nini?

tsafe kwanza inapea madem tiko miles, na unaziget ukipata freE advice na services zenye ungependa kuhusu relationship yako, bora uwe aged betweEn 15 na 19 years old.

so kama wewe ukipenda unaweza-get counselLing kuhusu isSue yako!

ninahitaji TSAFE sana! Maria Kim you are the best!

by the way, ile siku tulienda shopPing, niliku-buy-ia viatu! hizi! oh!! ayayai! maria kim! thaAaAnks! ni kali!

jeE, wewe ni dem aged betweEn 15-19 years old? wewe ni m-special na una-deserve tiko miles! tuma neno sema kwa 22699, uanze ku-get zako! kumbuka kutuma text kwa hii namba ni sare!

9


10


11


12


13


ona sasa!

ni nini sasa? mbona ime-stop? wewe chuxX acha kugonga simu yangu hivo! ni bundles zime-die! niwekeE bundle ya finje itatosha.

shenzi! siwezi kuwekea bundle ya finje na pale kwa video nitalipa kobole tu!

uko sure watastopisha movie kukuwekea video yako? hata wako nayo kweli?

kidogo...

si naku-show hatuna hiyo video!

14

SI uiweke kutoka youtube! haraka ama nikulipue!

Itamet ndio nini? sitaki itamet, nataka youtube! hii machine yetu haiwezi kuingia internet!

wewe chux acha ufala! nyamaza unatuharibia movie!


15


oOh! yunia! cheki vile ni msupuU! I hope atakuwa impresSed vile nime-promote waseE!

sasa chuxX? unakaA poa! nikuleteE nini? yunia! do you like my soup... eEeh... I like you are a soup... I mean supuUu... I am supuU... I mean...

bosS achana na kilami, una-throw! ah! nileteE supu na nyama kilo mbili!

kidogo huko kitchen... huyo chuxX anaku-like. nimeona vile amechanganyikiwa hehe!

eEeh! akiniuliza, why not? lakini... siko prepared! sina protection!

16

unaona vile anafanana? ako na doh! ame buy-ia kila mtu supu!

utaenda naye kwa keja yake? ni valentine’s day ujue!

ah, usijali! niko na t-safe kwa phone. Itakuonyesha ni wapi karibu unaeza get clinic yenye ni profesSional na friendly kwa ma youth! haiya, kuna service kama hiyo kwa simu?

eEh! nime find out kuna clinic hapa karibu tu. uko sorted!


17


18


19


20


21


22


23



Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.