Chapter 122

Page 1


2


3


4


5


6


7


8


...Kuna page flani inauza manguo fiti sana so nikaona ni idea pia naeza kuwa pasSionNante about Kwa hivyo biz yako unaifanyia online?

Yea. Iko kwa Instagram page inajiita Star ColLection Kenya Niice Shukran. Na pia of course kuna hii physical shop hapa Family Trade center... So mseE anaeza come hapa ama pia naeza deliver akiitisha order online.

Hapo sawa Esther. Na-like venye umejipanga

Thanks DJ B

ChalLenges zozote? The main ones ni Changes kwa market...

9


Customer preferences, hizo hubadiklika haraka sana. JuU ya hiyo, sales zinaeza kuwa unstable kiasi I seE

Alafu kitu ingine ni high import costs. Kuna taxes high sana Na sasa juU ya hiyo stori na chalLenges, plan yako ni gani? Plan ni ku-grow polepole niki-find njia ya kutoboa hizo chalLenges. Dream yangu ni kufungua shops zingine kadhaA outside Nairobi

Hapo sawa. Share na mafans siri za hustle zenye zime-work na wewe

First, Lazima u-study market yako uijue vizuri sana...

10

...UnafaA kujua cutomers wako wanapenda product na service inakaA aje.

Secondly, Lazima u-calculate kiasi ya capital unahitaji especialLy time ya kuanza hustle


11


12


13


14


15


16


17


18


19


slim ako in trouble! amekosa rent wanataka kunfungia shop!

wah! sasa tutamsaidia aje? pesa imekuwa shida! tuna-neEd ideas!

hmM...

nime-get idea kali!

ndio nampenda huyu sifa! niko lucky sana ni dem wa mine!

20


21


22




Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.