2
3
4
Violence is not the answer. Hatujui nini iliua juma. Familia ya juma inahitaji suort yetu kabisa h time. Hata kama ni corona tunajua nini ya kufanya, kuv mask, kuosha mikono na ku kp distance. Si crowd kama h tuko nayo hapa.
Na kama mtu ako na corona lazima akuwe isolated na tumpatie suort.
makarao! was! KWISHA!
h fear ndio tunaf kuipiga vita, hata kama corona ni real hatufai kuishi na fear.
Thanks boyie na kades
Niaje? Unaweza fanya nini ukiskia jirani yako amepata Corona? nitumie maoni yako kwa 20308 ukianza na word jirani.
6
7
8
9
10
11
12
Violence is not the answer. Hatujui nini iliua juma. Familia ya juma inahitaji suort yetu kabisa h time. Hata kama ni corona tunajua nini ya kufanya, kuv mask, kuosha mikono na ku kp distance. Si crowd kama h tuko nayo hapa.
..wewe unaf kuitwa empty debe kwa kueneza uwongo..
Na kama mtu ako na corona lazima akuwe isolated na tumpatie suort.
...badala ya kuelimisha wenzako, unawapotosha.. sasa tutamaliza hili janga aje?
nina wadanganya aje? hizi vitu ziko kwa mtandao...!
makarao! was!
KWISHA!
mtandao wapi? uwongo.com ama ufala.com ama ujinga.com
h fear ndio tunaf kuipiga vita, hata kama corona ni real hatufai kuishi na fear.
wacha tuangalie wenyewe! uwongo pia hatutaki
ukitaka kujua ukweli kuhusu corona unaf kuangalia kwa matandao ya ministrY Thanks boyie of health na kades ...na masks zenyu ziko wapi? lazima tuzingatie mawaidha tumepewa na minIstry of health. Niaje? Unaweza fanya nini ukiskia jirani yako amepata Corona? nitumie maoni yako kwa 20308 ukianza na word jirani.
cases nyingi kenya za corona ni watu ambao hawaonyeshi symptoms zozote za corona. Kwa hivyo oja wetu hapa anaweza kuwa na virusi hivyo na atuambukize sote. ni muhimu kuv mask kila wakati, kuosha mikono na ku maintain distance.
h virus haiko!!
...acha porojo.. angalia kwanza mtandao wa ministry of health.. tutamaliza corona bila hizo fake stories zako wewe!
Ni nini umeskia about corona ambayo unafl ni fake ? Tuma text yako kwa 20308 ukianza na word mkebe.
2
15
16
18
19
20
21
22
23
25
27
28
29
30
31