Chapter 127

Page 1


2


3


4


5


6


bwana governor, I think sisi wote tunataka kenya i-change...

kijana uko na point... lakini pia lazima ujiulize...

unataka kenya i-change ama ibaki tu vile iko?

kweli! lakini ma-youth...

Ikuwe poa kuliko vile iko saA hii...

ni ma-youth ama mayuts? nimesikia kijana akisema mayuts... hehe! mimi ni mzeE... ...wana expect kenya i-change aje kama wenyewe hawa-change behaviour yao?

kwingine...

kweli tupu, gavana! lakini, gavana... hatusikizwi! sauti zetu zinasikika kweli?

hivyo ndivyo hata sisi tulisema wakati tulikuwa mayuts tukipigania democracy!

nyinyi hamjui vile kulikuwa! there was no political parties, kulikuwa na detentions, watu kupotea... but mwishowe tuka-realise tusipo ji-organise, watoto wetu ndio watafanya chenye sisi tulifaA kufanya. mnataka hivyo kweli? kweli tupu! ni turn yetu kuwa organised!

7


8


9


10


11


12


13


14


15


16


17


18


19


20


21


22


23


24


25


26


27


28


29


30


31



Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.