Shujaaz Chapter 140 ni Motoo!
Boyie amepata mrembo. Bro ya Charlie Pele pia ameletewa mrembo aoe. Meanwhile, pale kwa Maria Kim na JK ni kama kuna mmoja ana-force issues, na Chuxx anadai ku-shoot his shot. Biz ya Malkia ya mabuyu iko fiti, but mathake haelewi anatoa wapi pesa ya kununua make up.
Cheki izi stori ndani ya Shujaaz Chapter 140.