KULALA KWA MTI
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
baAdaye...
ni nini claire? mbona umeni-calL hapa mbio mbio hivo?
felix niliku-show na haukunisikiza. siezi kuwa pregnant na mtoi wako mwingine! hata huyo wa kwanza hatukuwa ready!
aki am sorRy... najua ulitaka tutumie protection lakini nikakataA...
last time ilikuwa the same thing: ulikataA! this time mimi sitaki story mob. wewe ndio uta-come u-show mapero wangu chenye kime-hapPen!
come ubonge na sistangu. atajua cha kufanya...
agh! sistako hujua kila kitu, eh? umesahau vile alinifanya last time?
18
baAdaye kwa maria kim...
claire! nini mbaya? uko poa?
maria kim, tumeishana na felix. alini-trick tena... I think niko mimbwad!
oh my! tulia kiasi tutaku-help...
kwanza meEt huyu friend wangu, anaitwa maya!
by the way anajua place poa unaeza saidiwa.
na maya, huyu ni claire.
ah claire! mimi nisha wahi ku-let down? na ninaku-show unaeza m-trust maya!
poa kukujua, claire...
pole, but saA hizi siezi trust mtu sijui. unakumbuka chenye kili-hapPen nilipo-trust sista ya felix...
eh... hebu niulize... ni nini ili-hapPen na sista ya felix? ka unaeza niambia...
19
first time nili-meEt sista ya felix, nilim-like instantly. ni m-charismatic! tulikuwa ma bfF.
acha wasiwasi. kila kitu itakuwa tu poa, bae... usini-bae! nini ilikua so hard about kutumia cd?
mi nitakusupPort in case of anything
halafu felix akaniweka kwa situation kaA hii ya leo!
nataka kuongea na sistako.
ah, claire ngori ya nini? niko na method poa sana ya kuzuia pregnancy... ukikunywa two litres za maji, ita-dilute kila kitu, hautapata balL! aki? eEeh! kunywa yote!
eh! sikuwa najua hivo!
20
Mafuniko Ruwa Ujinga n kufua nguo kwa maji ya moto ili ikauke haraka.// Obadiah Ropkip “Ati ww n mrefu hadi unapewa ugali na manati�
21
hii ni kama ndoto!
sijawahi kujua services poa hivi zinapatikana!
hehe thanks!
Kulingana na results zako, hauko balL. So ni poa kutumia protection ndo usijipate kwa situation kama hii. Naeza kukuwahi advice juU ya hiyo pia.
baAdaye...
maya! pole niliku-doubt! hii place ni poa!! aki?!
22
aki!! kila dem anafaA kujua juU ya hii place!
Ni services gani zenye unajua Marie Stopes Kenya hu-ofFer? Tuma text yako kwa 20308 ukianza na word ‘#BilaLimit’ . Kutext ni freE of charge.
23
24
25
26
hiyo ilikuwa krismas poa sana! thanks! pole at first sikutaka ku-come...
haina noma... kwanza bro wako, bryo ndio alifanya hii yote ika-hapPen!
juniour, unajaribu kumsalimia? anaitwa bryo! ndio bro wa maria kim! sema bryo!
lakini si wewe ni m-selflesS! jacinta ata-stay na wewe for how long?
jacinta amepitia stufF, so si-mind. anaeza stay na mimi mpaka ile time ataweza kujipatia poa.
wah! aki hii basi! ata tungeEnda mguU tungefika faster!
27
kidogo...
wololo! Imezima!
woOoi! saidia! Imeanza kurudi nyuma!
hakuna brakes!
28
mungu papa wa yakopo! asante kutuokoa!
wewe dere unaezaje tubeba na basi ka hii?
ey! mavijanaA! cheki, kunakuwa giza.
tumelipa bwana! wewe jua vile tutafika jongo!
kama ni brake fluid hii basi inataka si tuende kwa ile shopPiing centre tutafute?
woOi! woOi! mimi siingii kwa hiyo basi. sijui tutatoa wapi brake fluid!
eh, asante kijana yangu! brake fluid ile inaitwa dot4 na bolt ya namba ten!
29
alihepa! hakuwa tayari kuwa na mtoi! but ninaji-blame mwenyewe. alinidanganya ati ananipenda...
badala ya kuboeka hapa tukingoja, nipe story, jacinta... niulize, baba ya huyu mtoi yuko?
ai! mbona unaji-blame? kila wakati nilikuwa na-insist tutumie protection. but kuna time moja alitaka siku kuU... ati? siku kuU? ndio kumaAnisha? mayuts kwa vilLage yetu wanaAmini mnaeza tumia protection tu lakini kuna siku moja hamtatumia ndio mu-enjoy kabisa, usualLy after mMe-trustiana. ndio inaitwa siku kuU...
eish! sijawahi sikia ufala ka hio!
I know! but since then nimekuwa mjanja! alikuwa anatisha ataniacha nisipokubali siku kuU.
30
but wewe ni m-beautiful. uko na future poa!
hehe! maboys wengi wamenijaribu but sa hii mimi mjanja! wizZo amenisaidia sana kujiamini na kujua kutumia protection inapea dem power juU ya relationship na life yake
hmMm... sikujua wizZo hufikiria hivo. huyo mseE ni mpoa walai!
baAda ya moshi mob...
Ni kitu moja gani una-admire sana juU ya Jacinta? Tuma text kwa 20308 ukianza na word #Haposawa. Kutext ni freE of charge!
heh! at last tumefika!
jacinta, karibu jongo!
31