Chapter 84

Page 1


2


3


maria ki,m... thanks kukubali kuja hii date na mimi...

ah-ah wizZo, sio date. tunaonyesha jacinta city!

hapPy valentines!

oh! thanks!

aAaiiii! wizZo pia mimi nataka maua aki!

na yangu iko wapi? hehehe!

4


ng’aAaA! ng’aAaA!

ni nini juniour? nyamaza!

ebu mlete...

wewe ni baba mtoto mpoa sana. sasa badala ya kununulia mama mtoto maua, unanunulia haka karembo hujui hata!

shHhH! bas! bas! amenyamaza!

kidogo...

oh! oh! amesusu!

ayayai yayai!

shati yangu!

tumeoga sasa!

5


6


wizZo anakaA mseE mpoa! uko lucky kuwa naye ka cuzo!

I know, right?

hata mpaka anakujali wewe na mtoi wako! aki! sometimes mi hu-feEl ka sim-deserve!

alL the time alikuwa anani-advise juU ya relationships, juU ya kuchukua control, kutumia protection...

ye hutaka tu kuniona nikiwa hapPy.

hmMm... no wonder ninam-like!

kuna kitu kinaendelea kati ya wewe naye?

aAh? ati? wapi? eh... ah-ah, sisi ni mabeste tu!

nawaona! sita-mind mukiwa lovers.

Ni kitu gani una-admire zaidi juU ya Jacinta? Tuma text yako kwa 20308 ukianza na word '#HapoSawa'. Kutext ni freE.

maria kim, tunaeza walk kidogo?

7


8


ye

9


10


11


12


13


14


15


16


17


18


19


20


21


22


23


24


25


26


I know, right? mi huogopa sana ku-get balL kaA siko ready. na-hate hiyo feEling ya kuogopa kila time!

just folLow your heart, lily. kama vile mama stacey husema, kama hayuko tayari kuku-protect, hayuko tayari kuku-marRy!

pia naogopa sana ku end up with the wrong person. natamani sana ku-meEt mwenye nitajua huyu ndio mr. right!

ah! mimi hapa mr. right wako! usitafute tena!

gosh!

oh my gosh!

chuxX! ni nini kutufuatafuata! nataka tu kuwa-help kubeba maji. warembo kama nyinyi hamfai kubeba vitu mzito kama mimi niko...

hebu jipe shughuli kabla nikuoshe na hii maji yote!

mwagia yeye! sidhani ameoga miezi mbili!

27


maria kim... nimeanguka maji ikamwagika karibu yote!

walala! ona nguo zako! uzuri tunaenda kufua. lakini hiyo ilikuwa maji ya kunywa. kesho utaenda kuchota ingine peke yako!

baAdaye, nyumbani kwa lily...

lily, ukimaliza kufua nguo zake si unipitie tuongeE tena?

poa!

wah! mbona nimeanguka tu hivo? ama niko na balL? na-hate hii feEling! lazima nicheck kama niko na balL!

phewks! sina balL!

28


baAdaye, nyumbani kwa lily...

lily! kwani umeosha nguo zako haraka aje?

sikuanza hata. na-neEd kuongea na wewe.

cheki, nime-decide ku-get protection long term. shida ni, sijui hata place moja poa yenye wanaeza nipa advice!

kwanza salimia huyu beste wangu anaitwa maya! sasa maya? pole nimefika tu nikaAnza shida zangu bila salamu!

haina noma, lily!

maya atakusort, anajua place poa ya ku-get advice!

29 Mafuniko Ruwa Ujinga n kufua nguo kwa maji ya moto ili ikauke haraka.// Obadiah Ropkip “Ati ww n mrefu hadi unapewa ugali na manati�


30


31



Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.