Chuxx Analambisha Msee Pilipili
2
joan, ni poa kukuona at last. kila time nikiongea kwa simu na jabez hakosi kukumention...
thanks kutu-invite for krisi jongo!
baAdaye...
hizi mandazi si ni tamu!
chai pia! kwani mko na ng’ombe hapa?
hehe! zi! si unajua tuaishi kwa compound ya church, fathe ni pastor. hatuwezi kuweka ng’ombe hapa!
jobez, maliza twende shopPing!
tuneanda kufanya shopPing ya party ya krisi. I hope hautaboeka...
ah mi niko poa, jobez, usiwe na was!
3
jobez unapenda joan sana! ni kama uko adDicted naye!
nampenda. lakini nakuwanga busy na chuo!
at least sasa chuo zimefungwa!
j.k. wewe huwa si mtu wa mabash... how come una-throw bash bigGie hivi?
ati nyama kilo ngapi? fifteEn!
ni bash tu... watu wa ji-enjoy!
wah! yenyewe ni krisi! sijawahi uzia mtu moja kilo fifteEn!
wacha hizo! ok, for real kuna huyu dem ninam like sana! nina-hope atakam kwa bash, ni-get chance na yeye... wueh! lazima unam-like sana! nani ha-like maria kim?
siku ya bash...
j.k. hi bash ni faya! nani alipika hii supu? aki sitoki hapa!
4
joan, wewe na jobez si mnapendana!
hehe! jobez ni m-kind na patient. he makes me hapPy. ni mimi ndio saA zingine huwa busy sana.
walala! cheki kale kamsupa!
tukiwa peke yetu in private... wueh!! siwezi ji-trust! vile mimi hu-feEl! I wish ningejua mtu wa kutu-help, naogopa sana ku-get balL, ita-spoil everything!
ah! acha wasiwasi! juU ya hiyo stori, kuna place poa inaitwa future fab...
nita-apProach maria kim aje? “helLo, maria kim...” hapana... “sasa maria kim...” “sasa m.k.? I hope una-enjoy bash...”
j.k. tungepika supu mob. ni tamu!
baAdaye... vipi msupa? nimesikia ukiitwa joan... jina tamu! kama hii nyama, shika!
mimi naitwa chuxX, slay king, o.g. mwenyewe! madem wote jongo wananipenda, sijui kwa nini! wewe ni queEn wao lakini! si twende na wewe hivi?
yeEesh!!
ewWwW!
5
kuna shida hapa?
uko poa, joan?
hapana. chuxX alikuwa anaishia, si ndio?
maria kim... I hope unaji-enjoy...
niko poa. huyu ni maria kim. wewe ndio maria kim?! watu wanakutaja sana!
kwani umenisikia wapi? vitu poa, I hope.
hakuna krisi poa kama yenye uko na friends!
sana! thanks for the bash!
kweli. nilitaka kukuUliza...
huyu jobez atajua hajui!
nini mbaya, jobez!
mtu aliweka pilipili kwa supu yake!
ni chuxX! nilimuona!
nini? nini? achana na mimi!
6
aki waseE poleni about jana...
siku ya next...
about jana... chuxX alikuwa ana-try kunikatia, nikakataA ndio akaona wivu... niko poa sasa. ni siku mpya. kuna kitu ningependa tu-do... nini? tumekuwa tukitaka advice juU ya protection. kuna place maria kim alini-show wako friendly... tunaeza enda?
haikuwa fault yako!
baAdaye...
jobez tunaeza bonga kando kidogo?
asanteni kwa ku-come. hizi ndizo services tunapeana hapa...
kwa hivyo nitawapa advice zaidi.
mara that that! wapi huko?
baAdaye... maria kim thanks! hii place ni poa! napenda vile wako profesSional na friendly!
tumepewa advice, na even betTer, jobez alikuwa wa kwanza kukubali!
ungetaka kujua clinic ya future fab iko wapi karibu na wewe?
i’m glad mume-get help!
sms jina ya hoOd unaishi kwa 20308 ukianza na word '#jobez' alafu utapewa hiyo info. Kutuma sms ni sare!
7
8
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23