Chapter 97

Page 1


CP

2


CP

3


CP

4


CP

5


CP

6


CP

7


8


9


siku kadhaA baAdaye... ma-customer wamekuwa wengi! hebu tufanye vitu faster faster!

maria kim, asante ku-come kutusaidia leo!

sio hoja, mama stacey!

beth! ebu iwe mara ya mwisho nakuona kwa simu! leo tuna customer wengi, tusiwadisSapPoint!

10

pole, mama stacey!


kidogo...

maria kim please nipanguzie kucha za huyo customer. naenda hivi nakam tu saA hizi.

sawa. uko poa?

eEh. niko poa.

uongo...

aki isiwe ati niko na balL ya steve! aki am not ready for this! lazima nikutane naye!

mama stacey... pole aki si-feEl poa... acha tu niende!

haukai poa... umetoka kutapika?

maria kim, changamka! tumebaki na wewe, leo utajua kufanya manicure!

ni kichwa tu inaniuma...

sawa, nenda kapumzike!

wololo!

11


baAdaye, kwa steve...

steve, mi siko ready kuwa mathe! aje sasa? si ile siku ulini-show uko safe?

steve ulisema ulikuwa na cd, mbona hukutumia?

ah, beth mambo ya cd nayo...

beth, baibeEeE! mimi mambo ya cd najua! hata ile siku niliwacheki mukiweka posters nilikuwa na cd. twende kwa keja ya mine niku-show!

Ishia!

sasa tuta-do?

woi!

12


baAdaye, kwa beth...

sasa nita-do nini, mariakim? nilim-trust steve! aki nimechanganyikiwa!

beth, relax! najua kitu unahitaji. ushawai sikia juU ya t-safe?

t-safe ndio nini?

T-safe ni ofFer mpya ya services ziko juU na advice friendly iki-come kwa love, sex na relationships. Kama umewahi kuwa na maswali ya kutatanisha kwa stori za love, T-SAFE itaku-sort‌ Unaezapata hizi services for FREe kwa special clinics na chemists‌ Kama uko aged betweEn 15-19 years. Services zenyewe ni kama pregnancy test na zinginezo.

tumia simu ku sign up kwa kutuma text mesSage, na ni freE!

13


IMPLANT

14


15


16


17


18


JIACTIVATE

19


JIACTIVATE

20


21


22


23



25


26


27


28


29


30


31



Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.