2
siku ya next...
so waseE... shule yangu ya kitambo wametu-invite kwa harambeE juU ya reason moja...
wanataka kujenga toilet separate ya madem. for now madem na machali wana-share toilet moja.
hiyo sio poa!
let’s do this! Itakuwa christmas gift poa sana kwao!
She said yes!!
ala! hiyo ni random! hehe!
3
baAda ya wiki...
kesho ni christmas day. mimi kama headmaster nimefurahi kuona nyinyi wote mumeacha sherehe zenu kukuja hapa!
hii harambeE ni zawadi kubwa sana kwetu, na ningependa kumshukuru sana j.k. kwa kuipanga!
ata wengine naona mMekuja na schoOl uniform. ni vizuri!
sasa ningependa kumkarisha mgeni wetu wa heshima... tumpigie makofi maria kim!!
4
asanteni sana!
nimefurahi sana kuwa nanyi wakati wa christmas kwa mara ya pili.
j.k. aliponi-invite, mara ya kwanza nilikataA, akavunjika moyo sana!
vile mnajua, madem wa hii chuo hawaya choO yao! leo lazima tubadilishe hiyo mambo!
kule ninatoka, huko jongo, madem wako na mashida pia. mashida yao maybe sio kutokuwa na choO, but wako na chalLenges pia! for example teEn pregnancies. sijui kama mna hiyo chalLenge hapa pia? naona watu wanasema ndio!
chalLenges hizo zote, tunaweza tukafanya kitu kusaidia!
5
siku ya next...
christmas day...
mi msanii leo hamnijui! lakini kesho hamtasema hamnitambui!
nawapa rap ya christmas day! hata kama mistari yangu hamjafika bei!
6
kidogo...
naitwa nipa. hiyo story ya teEnage pregnancy ni ukweli. mimi pia karibu iniguze!
maria kim! nilikuona shule jana!
eEy! nilikuona pia, nakukumbuka!
ni kitu moja tu ndio ilini-save! otherwise hata pengine ningekuwa na balL leo!
eh? nini hiyo? ebu ni-show?
Inaitwa tsafe. ningependa madem wote jongo wajue juU yake, ukirudi uwa-show!
nimekuwa niki-show madem hapa juU ya tsafe, na wamesaidika sana!
ala! hiyo ni poa sana!
tsafe ni ya madem wa ages 15-19 years. una-neEd tu ku-sign up, na uta-get help na services za sare kuhusu love dilemas zako! Iwe ni counselLing preofesSional na freE, ama protection yenye inakufaA for freE. unataka kuijaribu? ni rahisi! tuma neno sema kwa 22699 ndio u-sign up. kumbuka, kutuma sms kwa hii namba ni freE!
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23