family yetu ilikuwa ya kawaida tu. nilikuwa first-born. hatukuwa na dooh mob, so sikuwa na vitu poa kama vitabu na nguo zenye mabeste wangu wailkuwa nazo.
nilikuwa 17 nilipoingia hiyo gang. walini-like juu nilijua first aid since nilikuwa red cross cluB. before ku-recruit-iwa, gang members wanakuchecki tu... wanataka kujua wewe si snitch na hauingii kwa sababu ya ulafi. wanataka
mkuu wa gang hakuonekana, lakini yeye ndio ali-plan ma-robbery, kama kugonga duka za m-pesa. huyo msee alionekana na wazee wa gang pekee.
we were always high on bhang to dispel our fears. a few of us used heroin, which would give us the confidence we needed.
ju change NI SISI pekee tunaeza leta na tusingoje gava, politicians na NGOs. DO HIVI ju HAKUNA PL AN B! Cheki hii story ya I.D ujue kama bado unataka kuwa memba wa gang. Na kama unadai kujua zaidi cheki SHUJAAZ.FM Chapta 36 au www.Shujaaz.fm Hii ni story ya life yangu! Tafadhali usi-mek mistake kama yangu. DO HIVI na uta-succeed!
kwa sababu ya activities zenye nilikuwa na-do kwa gang, mabeste wangu walikuwa wasee wa gang tu. lakini haikuwa mbaya: wasee wa gang ni human, kama famo yako...
nikiwa seco, kuna rafiki wangu mwenye nilimu-envy sana maisha yake poa. akani introduce na kuni-recruit kwa gang...
walini-understand hata kuliko society. wasee wa gang walinichunga, na walini-protect pia, juu society haikutujali. so gang ikawa family yetu.
niliweza kupata kazi kwa carpenter fulani jirani wangu. alini saidia kwa transition ya kurudia maisha ya kawaida.
nilitaka ku-make something of my life, si hizi stori! kila mtu kwa gang alikufa hiyo day, including hao top members...
hakuna mtu alijua nilikuwa kwa gang au ni nini nilikuwa na-do, juu hatukuiba kwa majirani wetu. boss wangu hakupenda kuona mayut wakibangaiza tu, alitaka kuwa saidia.
wasee wa-silent, wa-secretive, na wenye hawaogopi.
Congrats kwa kupata hii ëDO HIVIí guide kutoka
so shootout ikaanza. nilijirusha kwa sakafu nikiogopa nitakufa! nilikuwa nafikiria ni lazima nitoke kwa hiyo situation!
alikuwa akiwa-show plan yenye wao wanacome kutuelezea. tulikuwa tuna ambiwa tu: “tumeambiwa tunafaa kufanya hivi...”
Name: Age: Waks:
siku mmoja tulikuwa tunaenda ku-rob supaa fulani. nilivaa jumper tofauti badala ya hood za kawaida. kazi yangu ilikuwa ku-scout hiyo area, lakini mmoja wa gang alinisukuma akaingia supaa na gun, aka-show wasee walale chini. hakujua kulikuwa na ma-plain-clothes hapo ndani.
gangs hu-destroy maisha! umeSoma risto ya I.D kwa shujaaz.fm na sasa ame-share info ju ya kutoka kwa gang-lyf!
mimi nikaenda home, nilikuwa traumatized. nilingoja nyumbanimmoja wa gang aje kunipunish, lakini hakuna mtu ali-come. a month later nilirudi kwa hideout nikawashow sirudi, nime-change life yangu. nilikuwa nimeanza kuenda church, nika-get saved. nilikuwa lucky juu hao ma-boss wa gang walikuwa wamekufa na members mpya bado hawakuwa na power, so nilikuwa free!
sikum-show ni nini exactly nilikuwa nafanya, lakini nilisema past yangu haikuwa poa sana, na nilitaka ku-move on. alielewa akanipa hiyo opportunity.
Na-hope hii ‘DO HIVI’ guide itakuhelp kujua reasons haufai ku-join gangs. ukiwa na questions, nitumie kwa