Do Hivi Kupata Maji

Page 1

BOYIE BOYIE

DJ B wa pirate radio station - Shujaaz.FM hapa mwenyewe!

dream yangu ilikuwa kuenda college, lakini fees hazikupatikana, so nikaanza ukulima. nauza crops zangu na inasaidia ku-save dooh za fees, lakini kuna shida kubwa ya maji yenyE ina-threaten hiyo mpango...

Name: Age: Waks:

BUBI

Jina: Yvonne aka Bubi Miaka: 20 Base: Syokimau

Congrats kwa kupata hii ëDO HIVIí guide kutoka

Ni haki ya kila mtu kuwa na maji safi! Ulisoma story ya Bubi kwa Shujaaz.fm? Kwa hii ‘DO HIVI’ ametupa tips poa za kudai services poa hosi yako.

ju change NI SISI pekee tunaeza leta na tusingoje gava, politicians na NGOs. DO HIVI ju HAKUNA PL AN B!

Hope utasaidika. Nitumie questions zako na nita-try ku-help!

Cheki hii story ya BUBI kama umeamua kuchukua action mtaa yenu ju ya maji kukosekana au kuwa chafu sana. Kama unataka experience different cheki SHUJAAZ.FM Chapta 37 au www.shujaaz.fm

nahitaji maji ku-farm! Hii ni story ya life yangu! DO HIVI na uta-succeed!


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.