Janjaruka 1

Page 1

not for sale

kujenga ma-youth

ku-save d ku-make ooh ni dooh!

published by

1


baadaye akiwa home...

bwahahahaha!

leo nitafika cyber mapema, nimalize job kabla giza...

hahaha! hihihi!

hii ni habit poa. nikipata doh, sikuli zote, na-save kiasi.

ah! mzito! i’m sure sasa kuna doh mob hapa ndani! nitaendelea tu ku-save! lazima ni-achieve dreams zangu man!

ala! ni nini?

bohohoho!!

hahaha! ah, j.k., wewe umetupa mbao sana! cheki vile ume-dress! msee! kuna kitu inaitwa fashion, bana!

seriously, msee!! hi trouser yako ni ya century gani? inakaa ya wale wasee wa titanic!

ame-dress kama mzae ako fifty years old!

haha! karis umeni-murder! ati titanic! hahaha!

hihihi!

lazima siku moja nifungua cyber yangu...

baadaye kwa cyber...

tangu uanze ku-clean hii cyber ma-customer wamekuwa wengi. kazi mzuri unafanya, j.k...

2

huyu msee ni m-hardworking! i wish... lakini mimi humuonanga na maria kim. sijui...

hizi pesa tunakulipa, wewe hu fanya nini nazo? utanunulia ka-dem chocolate? huh?

hehe! mimi hu-save. nataka siku moja kuwa na bizna ya mine.

eish! huyu ni msee amejipanga! ala!

...pengine nimuoe maria kim... hmmm... poa!

...niende college nipate diploma...

33


siku kadhaa baadaye...

hii ni kali! lazima!

mara that that... eh, nikose nichekwe?

ayayai! for real?!

ala! ni nini inafurahisha wase hivyo?

wewe achana na j.k.! unadhani dunia mzima ni fashion? madem wana akili hawaangalii fashion! wanatafuta msee ako na ubongo na ambition. wewe hata hujui hizo ni nini! ishia!

noma!

siku nyingine... i like this guy!

j.k.! ni wewe unauza ice cream! uko mbele!!

lazima nitafute doh juu niko na dreams. nina-save ndio nizi-achieve.

hii ni poa sana!

sema maria kim! mi niko works hapa!

na hii ingine ni nini?

nata siku ya concert ya juliani niuzie wasee ice cream.

poa! si naeza kusaidia? unilipe?

sawa. utaenda concert?

suddenly out of nowhere...

bwahahaha! hmmm... hii ni chance ya ku-make doh!

44

ningetaka kuenda lakini siwezi. nina-save doh nizitumie kufanya vitu more important.

hiyo ni poa. una-make sense.

yaani hata ukivaa uniform haisaidii. bado unakaa tu m-ancient! msee, huwezi nunua hata bling moja? na ni nini unangangana na hizi matai? hahahaha!

5


suddenly out of nowhere... tena!

bwahahaha!

hihihihi! karis wewe ni m-funny!

Short term goal yangu ni kuenda concert ya Juliani na Maria Kim

wewe karis kuringa ringa tu na hauna any. doh zako zote unatumia tu kubadilisha madem kila siku. una nini, heh?

j.k.! huyo ni wewe unauza ice cream? hehehe! ume-beat! how much kutupa mbao can reside inside one person? wah!

fala reloaded!

“Nilianza maisha na ku-hustle, lakini sasa nime-make it in life! Hata wewe unaweza. Believe in yourself, work hard, and na u-save doo yako juu ni cool ku-save!� mambo bad! ati sina any... i wish haingekuwa ukweli...

ati what?! wewe hubadilisha madem kila siku?! nimeishia!

Short term goal yangu ni kulipa rent na fees yangu.

ahsante!

babe...

Long term goal yangu ni ku-own Cyber. Ndio hii goal ikam thru, nime-get job part time job ndio ni-pay fees zangu za colle na niwai chapaa za ku-start cyber nikimaliza colle.

ahah! talk to the hand!

oh! j.k.! aaah... you are welcome. hehe! ebu, rudi job, ma-customer wanagonja...

Ni nini na need nikitaka ku-achieve DREAMS zangu?

UNAFANYA NINI NDIO U-ACHIEVE DREAMS ZAKO?

ASK FRIENDS

START BUSINESS

BORROW SAVE MORE

EARN MOR E

REDUCE EXPENSES

big

SANYiA MSEE

GET MORE DOH

PRAY AND DO NOTHING

66

OTHER:............................................................

Hakuna kitu mi hubaki nayo ya ku-save.

ku-save dooh kunisaidia baadaye Kila mtu anaweza save. Uki-save 5bob kilasiku, utakuana 1000shs. Form four iki-start

Kitambo nilikuwa kama wewe, lakini usipo save hautawai maliza shida zako.

Nita-buy goat! Nita-buy rabbits mbili na hao yao za kuzalisha! niuze chuo for profit Nita-start bizna ya ndao!

7 1. Nita-buy clad na viatu!


Checki SAVING HERO. Issah ni hero juu ame-save chapaa! Wewe Je?

ka kuanza biz aa kiasi. Nilita ap ch na a uw lea. Nikaanza na nilik ni bro akanioko ki Nili-grow kibich la , uff en aa chap xy za mtush. madem zile se lakini sikuwa na za p to am l niko na stock -sel na shop ya ku ya bro na sasa aa ap ch o hi a nililip ku-start shop Kutoka 2011 ngu. Nina save ya op sh a kw 00 ezekana. ya Kshs. 60,0 –grow vile inaw ni io nd e nn a zingine kam

patience discipline juu nime-avoid madem na pombe focused kwa goal yangu nili-buy zile vitu zina nifaa

lazima ni avoid mabeste wazii balancing my financial needs kuLenga zile vitu si-need, na kusave zile dooh zimebaki

Nini unique na wewe ime-kuhelp ku-get dooh?

Lion ina manga first before zingine, hata wewe uki-work, itabidi ujilipe kiasi alafu balance unatumia.

8


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.