not notfor forsale sale
kujenga kujengama-youth ma-youth
published by published by
34 of of66 1
Sly
2
K
33
44
5
Types za Insurance
Save
Save
Sly alitumia ile chapaa ali-save kwa smata account ku-sort issues za sickness ya mathe yake. However, emergencies zingine major hu-require msee kuwa na doo mob sana.
• • • •
•
Medical – Unaweza enda hosi na utibiwe fully hata kama hauna doo Education – Through hii, unaweza weak aside doo kiasi kila mwezi na eventually utakuwa na doo enough for higher education (Ambayo huwa expensive sana!) Life – Ile time unagenya, family yako inalipwa juu ya kukupoteza Personal accident cover – Unakuwa compensated for serious accidents ambazo zinaweza ku-happen-ia kwa hustle zako za kila siku e.g Jua kali artisan kupoteza mikono zake akifanya welding, factory worker kupoteza macho juu ya acid, kuchomeka, etc Animal – Hutumiwa ku-compensate farmers time yenye productive assets e.g dairy ama beef cattle zake zime-die.
Unge-waste doo kwa ku-buy health insurance? Hapo sasa ndio insurance hukujia. Insurance ni concept ambapo mtu ana-save doo kiasi na insurance company kila mwaka, na ile time unaptwa na emergency, wanailipia yote.
Ni Emergencies gani unaweza kupata mndio upate insuance cover?
66
7
Juliani
hu-act kama umbrella yenye inaku-protect from elements kama jua/mvua
88 1. Nita-buy clad na viatu!