Janjaruka 5

Page 1

not notfor forsale sale

kujenga kujengama-youth ma-youth

published by published by

3 of 6 5 5 3 of 6 1


K

2

33


44

5


illustrated guide ya Stock Market

Kuna options mob ya ku-do things na ‘windfall’ unaweza fanya vitu different na doo!

5

Scenario 1: Ku-spend doo yote saa hii au half saa hii na half baadaye: HAWA WANAWEZA KUWA GAMBLERS

3

Scenario 2: Doo kiasi saa hii au doo yote later: Hawa wanatafuta DELAYED GRATIFICATION ili watumie hiyo doo baadaye

2

Scenario 3: Small amounts za doo for a longer period of time: HAWA WANATAKA KU-PLAY SAFE NAWANATAKA KILA TIME WAWE WAKO NA DOO

Je, we ni msee wa aina gani?

Ku-make doo: kumbuka gava huchukua tax ya 15%

Angalia value ya shares – unaweza afford?

Determine how long una-plan ku-keep shares zako hapo – ni long term investment ama unataka ku-speculate? (Long term ndio the best)

4 Kuwa prepared for risk – unaweza poteza investment yako!

6

1 Fanya research yako kuhusu hiyo company, find out kama iko profitable ama iko likely kumake profits in the near future.

Invest kwa biashara mob – usiweke eggs zako zote ndani ya kikapu kimoja!

MUHIMU! hMyth kubwa kuhusu soko la hisa ni kwamba unaweza make dooh automatically kwa stock market na pia kwa single investments. Ni lazima uwe patient na u-diversify investment yako!

66

7


Sly

Ni lazima uwe prepared kwa success. Ukiwa na shillingi kumi, kula saba, weka tatu. Sisi kawasee wa-young si hudhani tuna nguvu ya kesho lakini things hu-happen. Postpone raha – raha haitaisha 88

9

9


10

11


12

13


Niaje Baraka! Niaje Sly! Mnadhani ni nini mlifanya right?

Siri ya Simba Mi nili -diversify investments yangu. Niko na rabbits zenye zilikufa, but bado nilikua na doo juu ya chicken farm yangu.

Lion ina manga first before zingine, hata wewe uki-work, itabidi ujilipe kiasi alafu balance unatumia.

Nili-save-ia a rainy day!

Je, Kares, ulistahili kufanya? Ninge tengeneza budget na savings plan! This way, ningeweza ku-keep track ya doo yangu!

Ni important sana ku-set both short na long term goals – otherwise hautaweza ku-achieve dreams zako juu hautajua kwenye unaelekea!

Kweli ni possible ku-spend wisely. Nita-open a smata account so that naweza keep aside part of everything na-earn. Only sh 50 kufungua, na minimum deposit ya 50 bob? Hata mimi naweza manage hiyo!

14

Siri ya Duma Duma iki-hunt haiwezi achilia food yake i-lost ikiona. Kwa life yako unafaa kuwa kama leopard, ukitaka kubaki focused na ku-succeed, usi-loose vision yako.

Siri ya Nyati The mighty buffalo is deliberate and steady, waiting all day for the hot sun to pass. It steadily grows and protects its herd. Don’t be in a hurry to make quick money that you might easily lose – wait for your investment

15


Siku hizi banks na stock exchange ziko friendly kwa ma-youths. Unaweza ku-save ma 5 bobs zako ufike thao na uanze ku-invest. Mimi nimejipanga kwa future yangu – nashughulikia saa hii so that twenty years from now nitakuwa sawa. Sifanyi vitu tu fwaa. Niko na lengo. Nataka kufika place. Na nyinyi wasee : Janjaruka ! Kusave dooh ni ku-make dooh! 16


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.