39 - Shujaaz.FM - Chapta 39

Page 1



3


4


Sisi kama mayuts tunafaa tu-decide venye tunataka, sio ku-decidiwa na politicians, we are ourselves and not anybody business. John Mwangi

5


6

DJ Boyie mi ni mgeni kwenye hii kurasa yako ni M-Tanzania, ni muda wa wa-Kenya na Afrika Mashariki kuacha mambo ya ajabu. Ukabila na siasa chafu sio muda wake huu. Hittu De Don


Enyewe ina faa,sanasana mayutz tujue siasa zinakam, zitapita na sisi tubaki. Moses Wanjaler

7


8

Hapo umeongea Dj b. Watu wanatumiwa kama wanyama na ku-realize its too late. We need to focus na tuwe macho. Tonny Fc


9


iCOw - ongeza maziwa ya ng’ombe ukitaka ku-register iCow tuma SMS “shujaaz” to

5024

Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 729 619 653 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: USAID, Twaweza, RIU, DFID-UK & Galvmed. Distributed by Nation and Safaricom. ART: Daniel Muli | Salim Busuru | Eric Muthoga | Shin Tuxedo | Mmbasu Mbwabi | Joe Barasa PRODUCER: Koome Mwiti ART PRODUCER: Fatima Aly Jaffer DESIGN: Esphan Kamau RADIO: Rickie Mukunga | Paul Peter Kades | Jared Ngugi RESEARCH: Sylvia Thuku | Farida Noah FINANCE: Dorothy Acholla DISTRIBUTION: Joram Kioko. Special thanks to JUST A BAND for their fantastic music on Shujaaz. FM Radio Well Told Story © 2012 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.

10



12

Sure tusikubali mtu atu-definie our destiny, ma own definition ndo poa! Izoh Young


Ukabila iliumiza wasee wengi hiyo 2007/08. Wasee wengi walipoteza lives zao. Utapata hao wasee wenye wali-organize hizo vikundi walikuwa na machungu na msee wa tribe ingine.

So tukaanzisha Amani Kibera na campaigns mob za ku-promote peace, kama Ukabila Ni Ujinga Campaign!

13

Shujaa wetu Malkia ali-encounter tribalism kwa sekta yake kwa shujaaz mag chapta 7!

Na badala yaku-express vi-positively, wali-express vi-negatively of which ili-affect wasee wengi innocent. Mi ka kijana, nilitaka ku-make sure hii election ya 2013 itakuwa poa, bila vita.

Amani Kibera ni organization ya Community yenye inadeal na stories za peace through sports na education. Inakuwa run na mayuts volunteers, na wasanii wa mtaani kama TK na Yellow Boy).

Stand up against corruption coz it’s so costly even our grandchildren will have to pay 4 today’s corruption incidences. Kevin Opana


Manze ile kazi unafanya ina nibamba tu sana. Uko juu tu sana. I hope to join you soon. May God bless you abundantly. Diana in Muranga

14


Hatukuwa na dooh mob ya ku-book hawa wasee kwa hotels. So tukawaweka wakae na host families. Siku ya tourna wasee walicheza foota, ma-artists waka-perform na tuka-have procession through Kibera yaku-promote Ukabila ni Ujinga.

Kuna wasee walikataa kukamu. Kuna wengine nao wali-say ati hawajiskii kuishi na wasee wa kabila zingine sababu tulikuwa tunachanganyisha wasee. Ungepata mjaka anaishi na mkao. Mara ya kwanza, tulikuwa tunahofia hizi differences zita-cause problems.

Hatukujua campaign ita-work vipoa hivo kwanza sababu wasee wa makabila different walikuwa wanaishi pamoja. Lakini, by the time hii tourna ilikuwa inaisha wasee walikuwa wamekuwa mabeshte na hao wasee walikuwa wanaishi nao. Hizo differences za kabila zilipotea vile watu walitambua kabila ya mtu haijalishi!

yule kijana charlie pele alijaribu ku-challenge tribalism kwao, pia! cheki hadithi yake kwa shujaaz mag, chapta ya tatu ya series yetu ya N.C.I.C.!

kitu inaweza kaa impossible, kama watu wa kabila tofauti kukaa pamoja, lakini ukiwa na ndoto kubwa unaweza kuwa surprised na chenye itafanyika!

15

Unamulika na ku-unite mayutz globally, moreover u are a peace maker, hope you will win Nobel peace prize. Big up DJ Boyie. Jaminka DE Satmin


Get to the grassroots. Get 1st hand in4mation. Assess the needs. Decide on ua priorities. Meet the most important needs. Then, find a lasting solution if possible. Ft Karis

16


17


18

It’s no one’s choice u know f ths pepo are gven a chance they cn make t n lyf. Brenzy Masdelica Nancie


maria kim naweza kupeleka out baadaye?

nimempata leo! huyu brathako na wenzake wana tabia mbaya sana!

sawa. umenipeleka out mara mob... una-try kunikatia? woi! woi! kwisha mimi!

ehe... ehe...

bryo! umefanya nini?

mwambie!

usikuwe mkali sana. unajua wavulana hivo tu ndio wao huwa!

tulirusha mawe kwa salon... hebu ingia kwa nyumba! lazima nitaku-punish!

bryo, mbona ulikuwa unarusha mawe?

kina robe na cyro walisema nikirusha mawe watanikubali niwe kwa gang yao...

gang! unataka kuwa kwa gang?

bryo usisikize hizo stori zao kama unataka life yako iwe poa.

sawa.

usiku...

19


20

Hats off for Shujaaz and DJ Boyie. Alfred Nduto


I think hao ma-vulnerable youths wanaweza kuji-recruit wawe peace ambassadors wa-preach peace coz beyond that peace ndo watarudi kusoma na kuhustle maday zipite. Abdukarim Jamal

21


at the County Assembly Public forum ...

mimi ndio representative wa hii ward.

ningependa kujua chenya mnahitaji, na nitaenda niambie governor wetu.

tunahitaji sana barabara!

tusipo fanya kitu kusaidia watoto wa hii area, watapotea na waingie kwa life ya crime na kulewa! hii area haita-develop!

tunahitaji pesa ya kutengeneza football club, place ya sports penye watoi wanaweza spend energy yao na kuwa involved na vitu positive!

wenye wana-support kujenga barabara, mikono juu...

wenye wana-support kujenga amenities za kusaidia watoto, mikono juu...

watu hawataki ku-support idea yangu.

22


23


24


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.