Kwa ii chapter, Malkia anafukuzwa shule juu ya School Fees, Charlie Pele ana-attend burial ya uncle yake na Maria Kim ako na stress juu ya bro yake mdogo Brayo. Boyie na yeye anafaa ku-make decision kama atauza Shujaaz kwa Governor.
Cheki izi stori noma, na u-share na mabeste!
Alafu kuna hii app inaitwa MESH. MESH ni Community ya ma-youth wako serious na biz. Ni platform yetu ya ku-create new networks, new partnerships; ku-learn, ku-mentor, ku-support na ku-motivate kila msee. Kama uko ready ku-grow skills zako, knowledge yako na biz zako, MESH is the place to be. Icheki hapa https://mesh.life/